Wallah nimenyoa tena week iliyopita, ila now nataka niwe serious, tatizo wakati wa kuoga naweka maji kichwani, si unajua mazoea yana tabu.πππ sina maajabu nimepita kidevu tu
Usiniambie zimekushinda umenyoa π? Mbona utunzaji wake ni rahisi tu
Chica pita basWewe tena kutia chumvi
Anza nipite nakedMoya tena
Anza nipiteChica pita bas
Nmepita juu hapo itakua marudioAnza nipite naked
Acha story nyingi hebu pita kwanzaSawa ila na mimi umenipata nilimaanisha nini na Ukweli unaendelea kuwa ukweli
Onhooo jamani unavyokuwa unaoga unafunika kichwa anza tubadilishane π mimi ninyoeWallah nimenyoa tena week iliyopita, ila now nataka niwe serious, tatizo wakati wa kuoga naweka maji kichwani, si unajua mazoea yana tabu.
ππππ
WasalimieOooh! asante mkuu...... haselfik mtu hapa!
Wewe tena kutia chumvi
Tangu lini umeanza hizi mamboπ€£Mashaalah! Basi basi! Nimeridhika, una vitu vyangu kabisa.
Pita sasaSteve Rogers nimekuona umepoa Mkuu π₯π₯π₯
Tangu lini umeanza hizi mamboπ€£
Hebu selfikaa
SijaonaNmepita juu hapo itakua marudio
Baaas kuna nini tena
Nmekuona jirani yangu wa maweni Z anto
Si unaona kumbe hunijui ππ, achana na maneno ya watu nisikilize mimiSitii chumvi, wala sifanyi unafiki, sijawahi kuona lakini kuna nyuzi nyingi unasemwa wewe ni mzuri sana.
πππ sasa nafunikaje? Navaa zile kofia? Ntajisahau ntajikuta na kofia enyewe ina maji?Onhooo jamani unavyokuwa unaoga unafunika kichwa anza tubadilishane π mimi ninyoe