Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii
Sent using
Jamii Forums mobile app