Ntakushtua saa nane hivi!Fanya ivo basi ili nilale sasa
Kumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.Vawulensiii!! Mie nimetoa tahadhari, ili akae kwa nywila.
Ni ushauri tu kwake.
Kubabake naisubr hiyo saa nane hapa silaliπNtakushtua saa nane hivi!
Wanachapana sana misipa humu ila ni kwa wale ambao wanawasiliana nje na hapa kuanzia PM ukoKumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.
Inabidi tuishi vizur na masister duu wa humu au unasemaje spidernyoka ? ππ
πππ kwamba?? Ni wee ndio huna bahati, wenzio wanaoneshwa zivu zivu, laivuuu.Kumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.
Inabidi tuishi vizur na masister duu wa humu au unasemaje spidernyoka ? ππ
Si yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? π³π³πππ wee ya kweli haya?
Mambo yote waziii kama ya mbuziπππ kwamba?? Ni wee ndio huna bahati, wenzio wanaoneshwa zivu zivu, laivuuu.
migodi anayo kweli yule mwamba mipira alokua anapost humu ni balaa ford rangersSi yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? π³π³
Watu wana knowledge ya scarcity kuona ni abundant πππ.Wanachapana sana misipa humu ila ni kwa wale ambao wanawasiliana nje na hapa kuanzia PM uko
Kumbe huko PM sio JF tena ni TINDER DATING APP ππππ kwamba?? Ni wee ndio huna bahati, wenzio wanaoneshwa zivu zivu, laivuuu.
πππ sijui wao wanao waamini wanaume wa JF tena wanao fly humu.Mambo yote waziii kama ya mbuzi
Ni Tagged na Badoo. πππWatu wana knowledge ya scarcity kuona ni abundant πππ.
Kumbe huko PM sio JF tena ni TINDER DATING APP π
Mipira yake ilikuwa Audi, Rangers na BMWs. Na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Moro.migodi anayo kweli yule mwamba mipira alokua anapost humu ni balaa ford rangers
Sasa wewe si unajua jukwaani hapa mbwembwe kidogo tu chupi unaopoa kibaoMipira yake ni Audi. Na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Moro.
Mwaga kuku kwenye mchele mwingi basi tupate kupona !πππ sijui wao wanao waamini wanaume wa JF tena wanao fly humu.
Wengi wao wapo kuwachora wanawake tu, wanawatumia then wanamwaga ubuyu na evidence kwa wambea.
Ila huyu member sikutegemea, ni kilaza kiasi hiki, anaonekana yuko intellectual and brilliant, kumbe daah.
Nachoka mie,
Unamsemea Babu miga? Yule hela anazo, na migodi kweli ipo, afu sio mchoyo ni mtoaji, sema ana tabia mbaya sana ya udhalilishaji, hasa akikukuta limbukeni na kichwani empty.Mipira yake ilikuwa Audi, Rangers na BMWs. Na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Moro.
Masista duhh mtawatoa wapi sasa bila kuzama pmπ€£Kumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.
Inabidi tuishi vizur na masister duu wa humu au unasemaje spidernyoka ? ππ
We si kibatali kimezima! Hebu lalaπ€£Kubabake naisubr hiyo saa nane hapa silaliπ
Jamani sasa watu wasipeane utamu jamani hebu waacheni nao ni binadamu aiseeπWanachapana sana misipa humu ila ni kwa wale ambao wanawasiliana nje na hapa kuanzia PM uko
Ndo inavotakiwaJamaa aliwala sana!
Sitaki ukorofiii. Nishavuka huko.Mwaga kuku kwenye mchele mwingi basi tupate kupona !