Trako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuri🤔Na ni pisi kweli mwenye trakoo la kwendaa
Ukitaka nakuweka kwemye list maisha yanasonga.Nshachelewa daaah 💔
Tule tubaridi twa elnino na kutafuna mapaja ya kuku ni same sameRaha yako kusikia tumeenda na maji sio🥲
Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yanguTrako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuri🤔
Mnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!Tule tubaridi twa elnino na kutafuna mapaja ya kuku ni same same
Hivi unawezaje??🤔Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yangu
Nimekula mambo yetu yale😉😎😎😎Hukomi tu🤣
Nisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituoni😄😁Unaogopaje sasa😂 henu weka vitruuzz
Baby qute. 💋😘
Elewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizoMnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!
Yaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..Bro kwema?
Hebu weka tena hio picha, utakuta una ndevu hadi mapele ila unafurahi sana kuitwa pisi kali... dah hii dunia hii...
Halafu kila mara nakuomba unazingua🥲Nimekula mambo yetu yale😉😎😎😎
Hakuna kitu kama iko bana😅Nisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituoni😄😁
Anza kwa mifano hebuUzi una story huu kuliko kusudio, porojoo nyingii
Utaziweza 😃😄😁Halafu kila mara nakuomba unazingua🥲
Wengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijui🤦🏽♀️Elewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizo