Mashalllah ๐๐๐Nishatupia hapo juu na saii bado ipo! Nasubiri unibles udugu fanya mambo kwa kuchat na picha nimemiss high heels siku unifundishe kuvaa high heels unitoe ushamba uduguu ako!
Akili zako weee mbili kasoro ujue ๐น๐ธMashalllah ๐๐๐
Hii miguu Mio anaifaidi kuinyanyua milaini na mizuri afu rangi ya mtume..!! ๐
High heels mi nilianza mapema kudandia viatu vya mama..!! ๐น
Yani nisipovaa viatu virefu naona bado kuna vitu vimepungua..!!
Kuna siku nilivaa kwenye live band kwenye kucheza nikamkanyaga mtu tukaanza kugombana..!! ๐น๐น๐น
AMini mtoto upo kama beyonce walahiUnazingua
Acha zako basi vinnieAMini mtoto upo kama beyonce walahi
Kivuruge wangu njoo uselfike
Mizigo ya Shimba ya Buyenze hii sijui alipotelea wapi huyu jamaa alikua cool sana.
Retired legendMizigo ya Shimba ya Buyenze hii sijui alipotelea wapi huyu jamaa alikua cool sana.
Tunakuogopa weweMsiwe mnafuta sasa kwani mnamuogopa nani
Mm sio de malefwe tupia tu hata usiniogopeTunakuogopa wewe
Hebu pita tuone mfano
Asante kwa mwongozo thou hio niliielewa . Nauliza kwa sababu nyingine!!Hapana. Nimemaanisha mkongwe mstaafu