Filter baba filter๐Rangi mama rangi
Ya kufanyia niniSio midomo ya kulia lia
Vin ndio ukae kama Unabatizwa๐
Si umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! ๐น๐น
Wewe nifanyie jambo hapa nione hips ๐ป
Mi hilo shepu lako tu linanimaliza. Mtoto Kama umeshushwa..!! ๐๐
Hakuna kitambi hapo, basi tu sina jeuri ya kuanika changu hapa๐Weee huoni hapo??? Pamoja na jitihada zakukipunguza kimegoma kabisaa walai
Watoto ni baraka wacha tuzae tu walai umri ushakimbia na tumechelewa kuzaa so ni kubemenda kwakwenda mbele!๐Muongo ๐น๐น
Hiyo mimba bana..!!
Mi nakujua huna kitambi kama hiko..
Yani unaswim na Tshirt kweli? ๐น๐น
Leo unaniangusha sijui kwanini. ! Vitunguu sijui asali niliacha weehhh nilikua nikitumia nahisi njaa nusura kuzima aaarghhh!!Hakuna kitambi hapo, basi tu sima jeuri ya kuanika changu hapa๐
Nimezoea tukiwa wawili tu bwana wee๐Leo unaniangusha sijui kwanini. ! Vitunguu sijui asali niliacha weehhh nilikua nikitumia nahisi njaa nusura kuzima aaarghhh!!
Kudekea tu emb njoo tuanze kujikinga na elninoYa kufanyia nini
Una shingapi?Kudekea tu emb njoo tuanze kujikinga na elnino
Faida sipati mimi tu jitafakari kisha chukua hatuaUna shingapi?
Soon as possibleWakuu kutoka wapi? Ujinini au kuzimu? ๐น๐น
Em tupia pic yako hapa nikuone mkaka mzuri..!!
๐น๐น๐น๐นSi umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????
Weee masta ujue najua huogopi do the needful nakuaminiaa!
Nimecheka kwanguvu hadi watu wananishangaa huku . Uneamua kunivunja mbavu โบโบโบ๐๐น๐น๐น๐น
Ole wako sasa unicheke View attachment 3672556
Weee akili zako mbili kasoro ujue hahah.. Nimecheka kama chizi!Tayari uduguu ๐น
Kabisaa uduguu ๐ฅฐ๐ฅฐWatoto ni baraka wacha tuzae tu walai umri ushakimbia na tumechelewa kuzaa so ni kubemenda kwakwenda mbele!๐
Nasubiri hapa sitoki mpaka upite PSoon as possible