Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,854
- 236,230
Kumbe ningekuja juzi ningeshuhudia mamboSio poa juzi mi mwenyewe nilipagawa si unajua chino sipagawagi kizembe. Oya vitu vipo
š©š¤š¤ŖšduhSIsi ndo tutajua mali hamna au lah sio wewe. Fanya kweli
Haha Christine_1 ni church girl lakini anazingatia! Si kinyonge vitu vipo!
Najua hamna mla michembe aliye kaa kiboyaDah ngoja nikaazime camera kwa jirani basiš
Weeeena ndio mnawapenda hao
Mtusamehe, humu panatuogopeshamnaishi kwa kujishtukia sana ,sijui tatizo nini
Tena sio ya kawaida kawaidaKweli u nid deliverance babgal
Haha š
Hakuna ninachokiogopa humu mimi, naomba tu kwa heshima na taadhima, uweze kupita dadaakeVitendo gani tena unataka jamani
Huu uzi wote Comment zaidi ya laki 3 ni mapichapicha tu
Unaogopa nini?
Usiogope chochote
natamani nikupige mbao huo.Usithubutu!š
Moja ya vitu vilivyonirudisha humuHakuna ninachokiogopa humu mimi, naomba tu kwa heshima na taadhima, uweze kupita dadaake
Ila sura ndio hutokaa ukaiona! Tusije shindwa ongea lugha moja aiseešNajua hamna mla michembe aliye kaa kiboya
Ni wewe mtupu.Kumbe ningekuja juzi ningeshuhudia mambo
Ila naamini sijachelewa.
Zirudiwe
We utanifaa sana inaonekana uko serious mno, muda mwingi unatamani kunipiga.. i love vayolensišnatamani nikupige mbao huo.
Uzuri uzi unasema tuselfike ili kurelease stress.Dah ngoja nikaazime camera kwa jirani basiš
Kwani nilishawahi kukuvunjia heshima? kwanini uniadhibu hivi dadaš„¹Moja ya vitu vilivyonirudisha humu
Ni pamoja na kukuona ukipita.
Usinidisappoint
Mimi ni lile tu!!Ila sura ndio hutokaa ukaiona! Tusije shindwa ongea lugha moja aiseeš
Sasa hii yangu ina ukungu ukungu sana nakaribia kufika kwa jiranišUzuri uzi unasema tuselfike ili kurelease stress.
Nokia Tecno,oppo,,zote tumetupia humu picha.
Wanaotaka picha za camera HD
Kuna uzi wao wa picha za warembo wakali worldwide.
Subiri sana nilijaziliziešMimi ni lile tu!!
HamnaKwani nilishawahi kukuvunjia heshima? kwanini uniadhibu hivi dadaš„¹
Umeipata hiyo mapema sana! Ila wewe ndio unaniangusha sana!Hamna
Selfie siyo adhabu
Kuomba use like ni moja kati ya ishara kwamba nakukubali sana.
Hadi nimekuja kuchat na wewe hapaš„°
Hahaha vibao nani hapendiWe utanifaa sana inaonekana uko serious mno, muda mwingi unatamani kunipiga.. i love vayolensiš