Goja nikuchekie moja mbofumbofu hivi๐Itabid ili nisichapiwe ๐คฃ๐
Walioquote picha sio, we si unatukanaga mama๐คจZinatosha mlio quote futen comment picha ya mbamizwa ndege isidukuliwe wejemeni ๐ซ๐ cc
Ntawashangaza vibaya! Pisi kali mlangoni napita kiupandeupande๐คWewe pia ni pisi kali, tatizo hutaki tukuone! ๐
Usinifanyie hivi๐๐ฝโโ๏ธSeran
last time umeselfika uko na bonge la msinia wa chips hivi ulimaliza kweli?
View attachment 3664055
Ulikolalia huu mwezi mzima kijana! Kuwa makini..Mshangazi una balaa huo.
Sorry Bu ni accidentallyUsinifanyie hivi๐๐ฝโโ๏ธ
Halafu hiyo inaitwa pizza, sema pitzza.. enhee..
Kumbe nawe ni moja ya masilent killers sio๐ค
Usinifanyie hivi๐๐ฝโโ๏ธ
Halafu hiyo inaitwa pizza, sema pitzza.. enhee..
Kumbe nawe ni moja ya masilent killers sio๐ค
Nimekosea nini jamani kijana wa watu๐Ulikolalia huu mwezi mzima kijana! Kuwa makini..
Ntawashangaza vibaya! Pisi kali mlangoni napita kiupandeupande๐ค
Kwanini unatunza picha za wapitaji?๐คSorry Bu ni accidentally
Shangaa nawe! Wasione mtu unakula vyakula vya kitajiri wanaanza kukudogodisha! Chips gani ya elfu 20+๐Kweli bwana hiyo ni Pizza, hakuna kiepe cha namna hiyo, asikudunishe! ๐
Unashuhudia jirani yako uongo unavunja amri ya 9 huko!Nimekosea nini jamani kijana wa watu๐
Embu nirushie picha nione kwanza
Kwanini unabisha lakini๐Sio kweli. ๐
kwangu wewe sio mpitaji๐Kwanini unatunza picha za wapitaji?๐ค
Leo umeniamlia sana jamani, loh! Kwa uzuri gani? Wacheni kurusha waja roho ndio yale ya minie, mwishowe nirogwe kumbe si kweli ๐คฃ๐
OMG!!Amka kumekucha mubaba๐๐
View attachment 3664068
Wifi acha uongo mbona mi kamera hainipi shepu kama lako.Hapana avatar sio mie mamchu! Afu mi hata sina shepu mjue nashangaa nikipiga camera inanitoaje sijui!!
Kuwa na heshima na shemej ako mzee mambo ya pic achana nayo kabisaHuwezi kurogwa bwana! Mbona binti kiziwi , kaweka picha kali hajarogwa. Hata hivyo sio ugomvi, siku ukijisikia kuweka picha nitag. ๐