Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,860
- 43,772
πππI mean Enzi zako!! Ulikwepa mishale mingi sana!! Ungewaachia vijana wa ovyo! Izo nguo zingekua hazikai kama zinavokaa.
We unakutana nakitoto Cha miaka 19 Kila kitu kimeshafanya kwenye dunia! Imagine kwenye umri wake wa 30 uko.Atakuwaje
Mi sikuhizi naamkiwa na mabinti wengi tu ila Kuna mda naona mbona hawa ni wazee kama Mimi tu ila kihuhalisia ni wadogo sana
HahahaMda wowote katibu wako anaweza ibuka; sijui harufu ya damu hua inamfikia mpaka huko alipo. Haha inabidi nije nimuulize
Wanijua niko stede!!πͺπͺNasikia harufu ya damu
2,3,3 4years! Kwa kizazi hiki!!πππ
Noma sana, ulo sahihi
Ukweli ni kwamba ngono inazeesha/inachosha hasa imiwa unalala na watu wengi tofauti...sex ni transaction ya energy na mambo mengine ss u can imagine ....
Plus life lilivyo tight unakuta mtu kwa umri huo anakua amechoka tofauti na umri ....
Mungu ametusaidia kwakweli I think pia kua na Uhusiano na mtu 1 kwa muda mrefu inasaidia sn kuto ruka ruka....
Lkn pia kuna muda ku-abstain jmn unakaa zako ht 2,3, 4yrs fresh tu yaani mwili unakaa vzr sn
Hahaha! Michambo yakiingereza ipo na ya kiswazi ipo!! anyway watu hua hawataki utilie kabisa.Wanijua niko stede!!πͺπͺ
Mimi sasa naamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka hadi naonekana lohl!!I mean Enzi zako!! Ulikwepa mishale mingi sana!! Ungewaachia vijana wa ovyo! Izo nguo zingekua hazikai kama zinavokaa.
We unakutana nakitoto Cha miaka 19 Kila kitu kimeshafanya kwenye dunia! Imagine kwenye umri wake wa 30 uko.Atakuwaje
Mi sikuhizi naamkiwa na mabinti wengi tu ila Kuna mda naona mbona hawa ni wazee kama Mimi tu ila kihuhalisia ni wadogo sana
Ali huyu huyu wa Yanga πAlikamwe;
Aaaah haina noumaHebu weka picha direct toka kwa gallery isiwe ya WhatsApp tuone!
Na akikuta vaga limeishaa!! Sijui hua anatumia tunguli gani kulirudisha upya.Hahaha
Atakuja tu sijamuona hili wiki
π
Hapo nitakua sio wa kawaida sasa!!! Kipindi kile na saii tena mieemiee khakhaa!!Hahaha! Michambo yakiingereza ipo na ya kiswazi ipo!! anyway watu hua hawataki utilie kabisa.
Nitajulikana na watesi wangu ujue πHahaha ndio unaweka bango kuubwaa la beer! Hebu liondoe basiiπ
Kuna mda najiangalia mpaka kwenye kioo!! Najiona bado ila Gen z na hasa wa kike!! Ni shikamoo shikamoo na Mimi natikisaga kichwa!! Naona kabisa madogo wanaweka mipaka mapema!Mimi sasa nanamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka mwili lohl!!
Wanataka kukunyima nini mnywani??? So hua unazuga hujaskia au?Kuna mda najiangalia mpaka kwenye kioo!! Najiona bado ila Gen z na hasa wa kike!! Ni shikamoo shikamoo na Mimi natikisaga kichwa!! Naona kabisa madogo wanaweka mipaka mapema!
Kama ombi la Seran linataka jibiwa!! Si ajawahi ona.Hapo nitakua sio wa kawaida sasa!!! Kipindi kile na saii tena mieemiee khakhaa!!
Afu Niliacha hekaheka kitambo mnywani umri ushakimbia!
Duniani wawili wawili amaAli huyu huyu wa Yanga π
Ni kweli kwa kizazi hiki ni changamoto hasa kwa mabinti tofauti na sie millenia2,3,3 4years! Kwa kizazi hiki!!
Watu wanawaza ngono 24/hrs.
ππππNa akikuta vaga limeishaa!! Sijui hua anatumia tunguli gani kulirudisha upya.
Itakua kaenda mambelezi huko!! Dubenga mtoto anagusa tu. Tutafute hela.
Wakati bado ni nafasi tatu!Wanataka kukunyima nini mnywani??? So hua unazuga hujaskia au?
πππacha watuamkie mashangaziMimi sasa nanamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka hadi naonekana lohl!!
Safari hii nichukue niwe mpiga pichaππππ
Mi mpk December ndo napenda kusafiri