Selfika na JF: Snap it. Show it

wale tuliojipanga kufanya matembezi ya mapumziko(vacation) maeneo mbalimbali nchini katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, tujuane.

hapa ni dongwe beach zanzibar.
GIF kwa hisani ya rafiki yangu ambaye yeye na mke wake mtarajiwa wapo zanzibar mda huu katika mapumziko.
 
@Eli79 unakwama wapi babe[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Me sikuisoma hiyo emoji vizuri; kwa hiyo sisi wa kihonda katuweka kwenye dustbin?
Ngoja tumsubiri hapa aje atwambie vizuri hizi dharau zimeanza lini[emoji134][emoji134][emoji134]

Cc Watu8
Comments zenu ndio niliweka huko...

Haya hebu tuanze upya kuandika vitu vizuri vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…