binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,095
- 44,606
Suuuuuuuu nimepiga mchanga πSema suuuuuu π€£
Well, in happy news: Mimi ndo producer wa huo wimbo sasa πGrowing up nilikuwa naupenda ule wimbo wa Z anto, nikaregister ID kama binti kiziwi.
π₯°Kashangazi fulani au sio
Ulivyo kisuuu sasa
πππ Ila wanaume!Well in happy news: Mimi ndo producer wa huo wimbo sasa π
Weee acha bana π€£Suuuuuuuu nimepiga mchanga π
Hii ilinikuta insta..Kuna siku mwaka jana nadhani, kuna mtu alikuja kwenye huu uzi aka comment kwa sasa tunaweza kutoa hivyo vivuli, nilishtuka π€£
Unajua kuna akina mahonda, christine, seran na wengine hawana shida maana wala hawahangaiki na majukwaa ya siasa, kasheshe ipo kwetu sisi visebengo π
Siku hizi hali si hali kwa kweli.Hii ilinikuta insta..
Nilimblock yule mtu, zima location etc
Shost mi nilikuwa mdau wa jukwaa la siasa infact ndo lilifanya nijiunge jf..kipindi cha magufuli ndo nikaachaga ..
Sheynziiiiiii π€£π€£π€£Nina kusapoti, weka account tuweke tone tone kwaajili ya kampeni dhidi ya huyu binti Sheβs
Hutaki niendelee kutengeneza melodies π!, anyway truth be told, you're cute absolutely gorgeousπππ Ila wanaume!
Umenichekesha sana mkuu.
Uliogopa π’Hii ilinikuta insta..
Nilimblock yule mtu, zima location etc
Shost mi nilikuwa mdau wa jukwaa la siasa infact ndo lilifanya nijiunge jf..kipindi cha magufuli ndo nikaachaga ..
Btw, una pressure??Sirudii tena Nusura nife!!
Ilikuwa ile October si unajuaUliogopa π’
Aah jana tulijiachia sn humuπ₯°
Na wewe tuna kampeni dhidi yako uselfike. π€¦π»ββοΈ
Siku hizi hali si hali kwa kweli.
Kwahiyo nisiende uturuki π€£
Ndiyo mamaIlikuwa ile October si unajua
Thank you champ!Hutaki niendelee kutengeneza melodies π!, anyway truth be told, you're cute absolutely gorgeous
Wanaume wanasema OG haichoshi nzuri, tulia hapo! π₯°Kwahiyo nisiende uturuki π€£
Mi nikijipata nilitaka nikatengeze mambo π
Kwahiyo nisiende uturuki π€£
Mi nikijipata nilitaka nikatengeze mambo π