Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni ngumu, picha uliweka kivuli, huwezi tambulika namna ile.
Kuna siku mwaka jana nadhani, kuna mtu alikuja kwenye huu uzi aka comment kwa sasa tunaweza kutoa hivyo vivuli, nilishtuka 🤣

Unajua kuna akina mahonda, christine, seran na wengine hawana shida maana wala hawahangaiki na majukwaa ya siasa, kasheshe ipo kwetu sisi visebengo 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…