Mlishe upepo tu, utayabananga si muda😂Pisi ya kwendaa
Mali safi
Kabisaa!!Kwaiyo Kuna mda wanapakana mafuta kwa mgongo wa nyuma.
Hahaha naipata vzr darasa la 3B😅Ni methali iyo siyo mafuta nazi usije ukatoka nduki
SinaYo still good, japo hujatupa ya recent uliyosimama
Sio kichwani na wewe zile za kiuononi!! Wanazotembezaga kina baba yoyooSiweki hayo matakataka kichwani kwangu😂
Sio mbaya, what you gave us is much betterSina
Hahaha
Mimi nimeokoka sivai mapepo😂Sio kichwani na wewe zile za kiuononi!! Wanazotembezaga kina baba yoyoo
Ndiomana mnaibiwa waume zenuMimi nimeokoka sivai mapepo😂
Shindwaa!!
Halafu pungyza story cappuccino, picha kwa wingii..🙄
Umeona vitu nlivyokua nasema sasa@serun hii ya July
Hahaha 😁
Nimeandika nikafuta nimeandika nikafuta@serun hii ya July
Hahaha 😁
Kisa nn chinoNimeandika nikafuta nimeandika nikafuta
Vitu ganiUmeona vitu nlivyokua nasema sasa
Hapo unahitaji nini tena😋😋
Wacha akafie mbele huko kama anatulizwa kwa shanga sishangai akiibiwa kishamba😂Ndiomana mnaibiwa waume zenu
Hizo mambo hazinaga ulokole.
July ilikuwaje? Hebu irudiwe mamchungaa😓☺️Umeona vitu nlivyokua nasema sasa
Hapo unahitaji nini tena😋😋
Umejaa kudra za allah, huhitaji ziadaVitu gani
Hahaha
HahaaJuly ilikuwaje? Hebu irudiwe mamchungaa😓☺️
😄😄😄kimeshakulamba😄July ilikuwaje? Hebu irudiwe mamchungaa😓☺️
Hapana ni za Yesu...Umejaa kudra za allah, huhitaji ziada
Sahiz unamcheka😄😄😄kimeshakulamba😄
Nibless nilale mie millenial ni kusinzia tu🙌🏾Hahaa
Umepitwa
Alinigeuka huyu pale juu, umemsahau😄Sahiz unamcheka