Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,238
- 6,476
Mimi mbabaishaji tu kama dokta mwakaWe ni daktari wa surgery auπ
Dah! Nimepitwa tenaAli selfika πβπΎ
Kila mtu naona anakusifia mkuuππππ
Usitufanyie hivyo!Mimi mbabaishaji tu kama dokta mwaka
ππunapitwa mnoDah! Nimepitwa tena
Ni huzuni kwakweliKila mtu naona anakusifia mkuu
Itakua mtoto umesimamia ukucha sana
Kwa picha ile yenye umesimama, huhitaji kontena ata.πππkwahiyo ambao hilo container hatuna tufanyeje
Kikubwa la kuchapia vibao lipo inatoshaUnfortunately sijawahi kulipna la huyu dada yako!
Wao sasa, huwa wanatembea kama wamebeba dunia huko nyuma!ππ½π
Turudi kwenye kupokezana kupita, unaanza weweUsitufanyie hivyo!
πππππunapitwa mno
Ukinichapa mgongo bahati mbayaπ€Kikubwa la kuchapia vibao lipo inatosha
Ss ndo urudi
Nishamaliza, ole wakoπ«΅πΎTurudi kwenye kupokezana kupita, unaanza wewe
68Ss ndo urudi
Unaona ulivyo vzr
Ulikuwa na kg ngapi?
Huyu hayupo hivoπππΏπππ
Hawa ndo wale wa kimya kimya wana download tu
SawaHuyu hayupo hivoπππΏ
Alikuwa offline
Na sshv una ngapiii??
Wa kienyeji kabisa.Ni huzuni kwakweli
Na ww unaamini mkuu ?
78πNa sshv una ngapiii??