Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetumia mbinu gani? Dadaako kama nipasuke huku😂🙌🏾
Nimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Punje 6 za viyunguu swaumu kila siku ..asbh na jioni..
Maji kwa wingi , soda zishanishinda...
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
 
Back
Top Bottom