Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🥶
Screenshot_20240518-214341_1.jpg
 
Nimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Punje 6 za viyunguu swaumu kila siku ..asbh na jioni..
Maji kwa wingi , soda zishanishinda...
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
Ngoja kesho asubuhi nianze hii nitaleta mrejesho!! Seran Ngoja nijaribu hii ya mamchu nione maendeleo
 
Nimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Punje 6 za viyunguu swaumu kila siku ..asbh na jioni..
Maji kwa wingi , soda zishanishinda...
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
Ngoja niscreenshot hii koment kabisa. Hizo punje za vitunguu saumu natafuna namezqq au natwanga nakula au aje mamchu??
 
Back
Top Bottom