Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi tuombe mods watoe option ya delete
 
Nilisikia tu save your sorry aluuuuu[emoji24][emoji24] nikatoka mbio.nikajua nimeharibu mood ya mtu, [emoji16][emoji16]ua the best friend to keep a good heart girl [emoji66] unaanzaje kuwa mkorofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba paroko, ili yaishe naomba zawadi ya Christmas mimi
 
Weee tena huyo ndiyo usimtaje kabisa,, kwanza ukimuomba wala haringi ataweka na akiweka akikutag hafuti hadi wewe aliyekutag uione labda kama amekutag na ukakaa siku mbili haujatokea.. ila wewe sasaaa mmhh hadi unatufanya tuanze kudhani labda mwenzetu unafanana na Cleopatra [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] (natania)
Dear kwa hili unanionea kiongozi ni Atoto[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi nyt nyt unapendeza ila sasa kabla hujakaa sawa vitu vinaevaporate kwa kasi ya hamna
watu wako na speed hiyo hahah yaan fyuuum fyuuum


Depal mdogo wangu nakusalimia, haujambo?
Hahaha nimecheka....Sasa Emay picha si uliona? Ulitaka ikae mpaka saa ngapi na vile haikuwa hata na Emoj


Nakusalimia pia kaka angu, me sijambo kabisa
 
Utetesi uzi si bure kuna picha niliweka sikuwahi kufuta ipo hadi leo pia ya jana sikufuta ipo mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…