Kiongozi wa nini tena dear [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] Sadaka za waumini zinaninenepeshaSiku hizi umenonaa baba paroko
Yani una bahati mbaya sana sana kuna kitubio lakini huwa natubu yakishakuangukia... Yani wewe ni mfano halisi wa hilo bango hahahahahh pole Sakayo wanguMimi nakuamini kwa kuyaegesha paroko! Halafu too bad huwa yananiangukia mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuundie tume basi
Akii umenonaa saanaa!!! Mpaka kakitambi ka kufutia simu kapoo[emoji23][emoji23][emoji23] Sadaka za waumini zinaninenepesha
Wewe njoo hapaHaiwezekani kuweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani una bahati mbaya sana sana kuna kitubio lakini huwa natubu yakishakuangukia... Yani wewe ni mfano halisi wa hilo bango hahahahahh pole Sakayo wangu
Aisee yaishe ππSimu kubwa nimeacha home hapa nipo ofisini na kitochi!!
Dear kwa hili unanionea kiongozi ni Atotoπ
Nilisikia tu save your sorry aluuuuu[emoji24][emoji24] nikatoka mbio.nikajua nimeharibu mood ya mtu, [emoji16][emoji16]ua the best friend to keep a good heart girl [emoji66] unaanzaje kuwa mkorofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani meliona nikacheka sana, kumbe huwa unayaegesha eeehhh!! Save yo pole baba paroko!
Hebu kuwa na heshima unapojibizana nami wewe ndio lugha gani watoto wa 2000 mna tabu sanaWewe njoo hapa
Umeomba picha kama unaomba kazi ya uhasibu wizara ya madiniAisee yaishe [emoji1][emoji1]
Tatizo ananidanganya mpaka namuonea hurumaππUmeomba picha kama unaomba kazi ya uhasibu wizara ya madini
Eti kakitambi ka kufutia Simu umenichekesha asubuhi hii mpendwa πππAkii umenonaa saanaa!!! Mpaka kakitambi ka kufutia simu kapoo
Poa utume basi mpendwa.Aisee yaishe ππ