Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,749
- 91,189
Halafu hiyo seroo inatokana na nini mtoto wa chuo wewe?Hamna bwana Seroo namaanisha ninachokisema.
NdioWewe unajiona sio mrembo? Toa point kuu 6 kwanini wewe sio mrembo.
1. Nina mashavu kama napuliza moto😝
2. Mfupi
3. Keusii tii🌚
4. Napigana ngumi huyoo⚔️🤸🏽♂️
5.siwezi kuongea kama binti naongea kama konda
6. Nakula miwa barabarani🙆🏽♀️