Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,538
- 83,025
Ona tuvidole, yani yanki kabisa hafu unakaa kunikoromea mimi, ujue mimi dada yako!😎kwa hisani ya mama
Ona tuvidole, yani yanki kabisa hafu unakaa kunikoromea mimi, ujue mimi dada yako!😎kwa hisani ya mama
Sawahii biashara nione pm utume picha
Usiwe mgumu wa kuchora😂Sawa
ZipiIla nina skills 3 tofauti sio kuchora tu Mungu kanibariki
kwa kuigilizia naweza ila kutoa kichwani ndo ishu inaanzia hapo😁Usiwe mgumu wa kuchora😂
Crochet ...humu sijui nikitangaza biashara watnipa sapotiZipi
as your artist ondoa hofu..😂kwa kuigilizia naweza ila kutoa kichwani ndo ishu inaanzia hapo😁
Ndio nini hyoCrochet
Inabidi unipatie kozi niwe master 😁as your artist ondoa hofu..😂
Unapata sana tu , unafuma na sweta za shule? Kwa watotoCrochet ...humu sijui nikitangaza biashara watnipa sapoti
Nikoromee mrembo kama wewe Seroo? Hapana nitajilaumu sana.Ona tuvidole, yani yanki kabisa hafu unakaa kunikoromea mimi, ujue mimi dada yako!😎
Mpaka kofia za waremboUnapata sana tu , unafuma na sweta za shule? Kwa watoto
Unaujua mzula?/ boshoriMpaka kofia za warembo
NdioUnaujua mzula?/ boshori
Je , una nia?Inabidi unipatie kozi niwe master 😁
Ndio 😎Je , una nia?
Ila wewe una kaunafki kakisomi hivi.. indirect unafique😆Nikoromee mrembo kama wewe Seroo? Hapana nitajilaumu sana.
Hamna bwana Seroo namaanisha ninachokisema.Ila wewe una kaunafki kakisomi hivi.. indirect unafique😆