Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,559
- 83,047
Khee wewe tayariii🤣Sio sana , jicho linanimalizaga mno😅
Khee wewe tayariii🤣Sio sana , jicho linanimalizaga mno😅
Mnafique wewe!Warembo wa selfika ni balaa. Rangi za mtume na vidoti usoni.
Ndo maana nakupendaga 🩷Mimi nimekuheshimu wewe tu coz umejibu chap!
hahaa Seroo...Mnafique wewe!
Picha zangu zinapatakina PM tu!Tupia moja
Luv u boo boo😍Ndo maana nakupendaga 🩷
Aya nitumie Pm chapPicha zangu zinapatakina PM tu!
Ila min, basi tu ngoja nikae kimya😆Hapa nimetoka zangu kupalilia shamba nimechoka, nashindwa kuelewa😁 View attachment 3643852
Nyooko!!😁hahaa Seroo...
Sijapata ona "mumama" mrembo kama wewe.
tupia ata mdomoPicha zangu zinapatakina PM tu!
Weka hapa unapenda kubembelezwa kama kawaida yako!Picha zangu zinapatakina PM tu!
Sema mdogo wangu😆Ila min, basi tu ngoja nikae kimya😆
Toa ya moyoni ntakupigia debe😂Ila min, basi tu ngoja nikae kimya😆
Unautani na sisi
Unajua kuwachota😅Sema mdogo wangu😆
Debe tena! Hakuna hata kuna jambo tu nimekumbuka😁Toa ya moyoni ntakupigia debe😂
😄😄 wakuchotwa waache wachoteke karibu vodkaUnajua kuwachota😅