Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,844
- 12,723
NaisubiriNgoja nifanye namna
NaisubiriNgoja nifanye namna
Nimeona vumbi tu.
Uncle heshima yako mkubwa🤓Braza Shikamooo
Unakata sana mitaaNimeona vumbi tu.
Na kutoona kabisaEm rudia tena sijasikia 😏
Nipo tu maskani nimepoa You Tube inanimalizia masaa ya usingiziUnakata sana mitaa
Ni kweli zipuuzwe vipi?A wapii😂🙌🏿
Zipuuzeni hizi taarifa
Ndiyo basi tena ushapitwaNipo tu maskani nimepoa You Tube inanimalizia masaa ya usingizi
Dah! Usinifanyie hivyo, picha nimekosa basi hata niitwe majina mazuri moyo usuizike nilale kwa amani😎Na kutoona kabisa
Mbona nimekuita kule juu😅Dah! Usinifanyie hivyo, picha nimekosa basi hata niitwe majina mazuri moyo usuizike nilale kwa amani😎
Ngoja nisubir muda mwafaka ila ipo siku takuona.Ndiyo basi tena ushapitwa
Sijasikia vizuri, basi fanya kuninong'oneza 😎Mbona nimekuita kule juu😅
Ndiyo subiri nitakuita tenaNgoja nisubir muda mwafaka ila ipo siku takuona.
😀😀 sawa sogeza sikioSijasikia vizuri, basi fanya kuninong'oneza 😎
👂🏻👂🏻😀😀 sawa sogeza sikio
Tayari 😅 mahi👂🏻👂🏻
Hapa sasa naweza lala kwa amani hata mbu watakuwa wananipepea 😁Tayari 😅 mahi
Sawa gudubaii 😀Hapa sasa naweza lala kwa amani hata mbu watakuwa wananipepea 😁
Sawa, usiku mwema 😃Sawa gudubaii 😀