Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,416
- 9,638
😀😀😀siyo mbaya umeona Rasta kuliko ungeona Vumbi
Shenziiii binti mzuri😀😀😀siyo mbaya umeona Rasta kuliko ungeona Vumbi
Asantee 😍Shenziiii binti mzuri
Nimelia sana🥺
Braza si nakusalim lakinUncle heshima yako mkubwa🤓
Katoka Nipo na simu yake😂Braza si nakusalim lakin
League imeisha next league tunaanza soonKatoka Nipo na simu yake😂
PoleeNimelia sana🥺
Shukran mkuu kuanzia kesho saa nne ikifika nitakua nakaa na mafuta ya mtume pemben😃Polee
Hapo sawaLeague imeisha next league tunaanza soon
Mwambie Uncle akusimulie ameionaShukran mkuu kuanzia kesho saa nne ikifika nitakua namaa na mafuta ya mtume pemben😃
Kwahiyo salamu yangu umekataa kuitikia braza😃Hapo sawa
Aah ataniongezea hasira tuuMwambie Uncle akusimulie ameiona
HahahaAah ataniongezea hasira tuu
Nitulie tuu hakuna namnaHahaha
Fungu la kukosa nakatiza.
Huu Uzee unanikosesha mengi hakika, kila nikiitwa kitendo cha kutafuta miwani tu, nikirudi hola 🥲