Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,313
Nasubiri MjukuuNikirudia nitakuita😀 Babu
Nasubiri MjukuuNikirudia nitakuita😀 Babu
Sahivi watu washajaa muda ule ilikuwa kimya kimyaIrudie kwa heshimaa ya babu Tafadhali😂
Siyo leo tenaNasubiri Mjukuu
Kweli sina bahati 🥲Siyo leo tena
sawa😂Sahivi watu washajaa muda ule ilikuwa kimya kimya
Ulale tu BabuKweli sina bahati 🥲
Polee wakati mwinginesawa😂
Nikae kwa kutulia
si ndiwoo💃💃Et eenh 😀😀😀
Na hizi Kiko ninazovuta, usingizi umepaa kabisa yaani 🤭Ulale tu Babu
😂🙌🏿Polee wakati mwingine
Shauri yakosi ndiwoo💃💃
😀😀 basi pita babuNa hizi Kiko ninazovuta, usingizi umepaa kabisa yaani 🤭
Pita basi 😀
wakipita uniite basi☺️Pita basi 😀
Hata wewe upitewakipita uniite basi☺️
Ilikuwa ni zamu yako Babu yako kukuona, si unajua imepita miaka mingi sijakutia machoni 🤭😀😀 basi pita babu
😀😀sawa hebu nifanye namnaIlikuwa ni zamu yako Babu yako kukuona, si unajua imepita miaka mingi sijakutia machoni 🤭
Hapo sawa 👏👏😀😀sawa hebu nifanye namna
Last born 🔥🔥