ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,869
- 39,948
Aaah hata hivyo ni mpoleeHapendi miluzi mingi
Aaah hata hivyo ni mpoleeHapendi miluzi mingi
🤣🤣Girl Poet naomba picha ya mgonjwa nione alivyo mnyonge plzzz
Si ndiyooo🤣Hakuna kitu kama hicho
nipo rudisha saivi mumy🤗🤣🤣
Nshakurudishia ila naona kama haupo 😵😵
🙂nipo rudisha saivi mumy🤗
Ulivoandika kama unamjua vileAaah hata hivyo ni mpolee
rudiaaa au nipige ukunga yelewi
😁😁 namjua hata hivyoUlivoandika kama unamjua vile
wow🔥🔥 i like ua swagg G 😍😍 uko hot
Mtaje hata code😁😁 namjua hata hivyo
NeverMtaje hata code
Mungu kakupa kila kitu isipokua moyo wangu tu.🤣🤣🤣🤣
Unaniombea nini kwanza kabla sijasema AMEN!!
How? Unanichanganya ujue?Si ndiyooo🤣
😃😃Leo kazi ninayohata dada mtu sijaitwa kweliiiiiii? sijapenda hebu irudiwe tafwazali
Jamani usiwashtue mods wamepumzika 😴rudiaaa au nipige ukunga yelewi
Ila Chica lol🤣🙌How? Unanichanganya ujue?
Au kama kuna chimbo lipo nipe location nifike mkuu😃