ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,146
Acha u tomaso amini tuNitaaminije mkuu?😃 wakati wako sasa
Acha u tomaso amini tuNitaaminije mkuu?😃 wakati wako sasa
Haha sawaNakujaza na wewe unajaa unaonekana moyo wako laini🤣
Ila wewe 🤣Haha sawa
Iman yangu haba ..Acha u tomaso amini tu
Night night!thanks sweet,,,
haya uwe na usiku mwema mi nawakimbia
Kila mtu kaona wewe umechelewa imekula kwakoIman yangu haba ..
We tubless tuu tujadili vizuri hilo swala...
Dah🥺 second chance basiKila mtu kaona wewe umechelewa imekula kwako
😁😁😁 gudubaiiIla wewe 🤣
Uongo utaacha lini wewe?ShesRise_1 nlikuwa nasinzia rasmi nimeahirisha.
Usiende babe😢😁😁😁 gudubaii
Nikajua peke angu nimetoa macho kwel 😃ShesRise_1 nlikuwa nasinzia rasmi nimeahirisha.
Umeona au hujaona 🤣Nimekaa na maji ya mwamposa pemben kumbe yanafanya kazi aseee😃😃
ShesRise_1 kumbe team jumapili wewe sikujua hilo
Nalala zangu nimechokaUsiende babe😢
Nimeona ndo nipo hapa kukuliza ulikua wap kuniambia kama wewe team J2😃Umeona au hujaona 🤣
Pumzika mdogo wangu mzuriiiNalala zangu nimechoka
Team J2 ndio ipi hiyo🤣Nimeona ndo nipo hapa kukuliza ulikua wap kuniambia kama wewe team J2😃
Asante sana 🙏Pumzika mdogo wangu mzuriii
Wiki hii sitaingia tena selfika ili kichwani nibaki na picha yake tu.Nikajua peke angu nimetoa macho kwel 😃