win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,804
- 29,839
I was in mshamba_hachekwi uache kuniita dogo nitakunyonga mwanetu
😭😭😭Shenziiii🤣
haya tupia na wew nikuwekee vi moto vitatu 😅
Rudia🔥tayali huko😄
wea wea yu binti🤔Rudia🔥
Usiulilie uzee. Utakuja wenyewe. Sawa dogo?I was in mshamba_hachekwi uache kuniita dogo nitakunyonga mwanetu
heshimu hata kitambi babu au umefumba macho? 😅Usiulilie uzee. Utakuja wenyewe. Sawa dogo?
beautiful 😍 mash allah
Nimelia sana 😭😭😭nimeishia kuona vumbi
Urudie sasa nawewe 🤣🤣beautiful 😍 mash allah
Kitambi cha uzembe wa kubugia chipsi mayai.heshimu hata kitambi babu au umefumba macho? 😅
narudia usikae mbali na thimu,,,Urudie sasa nawewe 🤣🤣
Then naomba hela ya kusuka mimi nimechoka ushungi🤣🤣🤣
Kaa hapo sasa nina moodNimelia sana 😭😭😭nimeishia kuona vumbi
Kusuka 50k inatosha babenarudia usikae mbali na thimu,,,
eh unataka howmuch
umesahau kidali na Pepsi,, nimeumia sana asee kuanzia kesho nitapunguzaKitambi cha uzembe wa kubugia chipsi mayai.
Hongera kwa urembo mkuu.
Heh alooo🤣🤣🤣Hongera kwa urembo mkuu.