Hivi milima ya Uluguru kuna nini mkuu?? Huwa napenda kufanya hiking kwenye milima ambayo ina vivutio mfano Udzungwa nilienda kuangalia maporomoko ya maji kule juu kabisa na Kilimanjaro inshaallah siku moja nitapanda kuenda kuona barafu kule juu kabisa japo najua watu hawafikagi kule wanaishia Kibo na Mawenzi tu
Mbeya nina mpango wa kupanda milima ya Loleza na Usangu karibu
Sent using
Jamii Forums mobile app