Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaada😃Natafuta dogodogo mkuu, ma ankoz wamenishinda tabia🫣
Nishasikiliza ngoma zote za dizasta😃Mkuu ushaskiliza Kibabu na kibinti!
Mitaa inatudaiMimi nimemaliza chuo napuyanga tu 2017.
Nawe ufanye upite!Mkuu tulia basi rudi kwenye kitengo chako waendelee kupita 😔
Sanaa nikijiangalia mpaka sasa nabaki kumshukuru Mungu tu.Mitaa inatudai
Kupita bila kuweka emoji usoniNina tezi dume ndugu yangu, isitoshe bado sijamaliza dozi ya Malaria ndo maana kuelewa inakuwa changamoto. Mmmh hebu niambie mnamaanisha nini mkisema pita naked!
Sio poa 😂 , Mimi zangu nilifuta sababu niliingia woga Kuna jamaa kichaa sana sasa hivi amepotea Jf niligombana nae nikahisi anaweza kuziDownload na kuanza kutumia vibaya KuniBully .Itakuwa ni kweli kuna jamaa aliwahi kuniambia "JF unatafuta nini zaidi ya porn" sikumwelewa , huenda alikutana na uzi kama huo😄.
Dah ! jamaa naked anaelewa naked yenyewe 😂Si naked hiyo nawe mkuu, kuelewa ni ngumu🤔
Ngoja nijaribu kuusaka nitakuTag , alianzisha Mzee Bujibuji na yeye alianza kwa kujitupia full . Watu wakawa wanashuka tu maneno kidogo picha nyingi bila kificho , wengine wakaomba mods wafute uzi kuwa umewekwa kimitego kuwanasa watuHebu nitag huo uzi kwanza..🤭
Kikubwa uzima mapambano lazima yaendeleeSanaa nikijiangalia mpaka sasa nabaki kumshukuru Mungu tu.
Binti wa kale sio😎 nakuelewa jaribu kupita basi punguza maneno kijana! Vitendo vipewe kipaumbele😁Okay 👍, mbona naona watu wanapitisha videvu sasa, wengine visigino, kuna mwingine huko kwenye uzi mwingine (jina limehifadhiwa) kapita na kivuli, yaani ni vurugu tupu. Enewei nimekuelewa lakini ahsante ✊.
Alijua ni porn, Kaandaa kabisa na mafuta atupigie nyeto🫢Dah ! jamaa naked anaelewa naked yenyewe 😂
Ulishawahi kuwepo jukwaa la wakubwa ?Naked anamaanisha kupita Na picha yako bila kuficha...
P@rn unazungumzia Jukwaa la wakubwa lilishagungwa muda mrefu sasa😃
Kwani walikuwa wanashikiwa mapanga kuweka picha, watu wanajishtukia sana aisee🫢 hebu nitag mie nikajichagulie mume🤸🏽♀️Ngoja nijaribu kuusaka nitakuTag , alianzisha Mzee Bujibuji na yeye alianza kwa kujitupia full . Watu wakawa wanashuka tu maneno kidogo picha nyingi bila kificho , wengine wakaomba mods wafute uzi kuwa umewekwa kimitego kuwanasa watu
Sijawai kuwepo mkuu huko😃😃Ulishawahi kuwepo jukwaa la wakubwa ?
Mimi enzi hizo nilitamani sana na kuwaomba mods DM waniunge hawakuniunga , nadhani kwa vile nilikuwa around 17 -18 years ndio maana hawakuniunga . Niliumia sana jukwaa kufungwa halafu Mimi sijawahi kuona hata linafananaje .
Najiuliza mtu alikuwa anaenda jukwaa lile na ID yake ya heshima kweli au kule ilikuwa aibu utaona wewe ? 😂 😂 😆
Mimi ningekuwepo ningekuwa napita kimya kimya bila kuComment wala KuLike
Ule uzi wa bujibuji 😃😃nimekumbuka aseee kitambo 😅😅Kwani walikjwa wanashikiwa mapanga kuweka picha, watu wanajishtukia sana aisee🫢 hebu nitag mie nikajichagulie mume🤸🏽♀️
Ule uzi ulikuwa Vibe aibu utaona wewe watu wanapiga live naked , nashangaa humu mnaogopa mkipost hampost naked halafu mnafuta mara kwa mara kila nikija nakuta peupe 🤣 😂Kwani walikuwa wanashikiwa mapanga kuweka picha, watu wanajishtukia sana aisee🫢 hebu nitag mie nikajichagulie mume🤸🏽♀️
Jamani si mnitagi🙄Ule uzi wa bujibuji 😃😃nimekumbuka aseee kitambo 😅😅
Braza unacheza kama Bruno halafu Mimi Mbeumo 😂 🤣Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaada😃