Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
eeeh! na mkikubaliana mkikutana mnafanya tu kama hamjuani yani.. kitawakia home mtapo rudi ila mkiwa hotel nikupeana tu mambo hadi paweka moto
😹😹😹 Hatari sana..!!
Humu kukaa kimasta sana..
 
😁😁 Utamu paka kisogoni , utamu unao kelaaa.. mtoto anajua mambooo lol! kama kazaliwa spaniolaaaa kwa mahaba yake
Nitajie basi na wewe khaaaa..!! 😹😹😹
Nataka awe kungwi wangu na mimi nimteke kibaka mmoja humu..!!
 
Nitajie basi na wewe khaaaa..!! 😹😹😹
Nataka awe kungwi wangu na mimi nimteke kibaka mmoja humu..!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ulitakiwa kumteka Engineer ambae aliamua kujimaliza na kujiteketezaa
 
Koloni langu la nje hata lifanyaje haliwezi kunijua humu.. 😹😹
😁😁 kuna siku unashika simu yake, malaaa paaap linaomba lije PM yakee.. au ndio unakuta ndio anaetumia ID ya mzabazab mwanawaneee
 
Kuzaa tena? 😹😹
Yule mkaka mkorofi anaonekana, halafu muhaya na mkinga lazima tungeshindwana..!!
😁😁 kuzaa na mwana Jf ndio fantasy yangu kubwa imebakii sijui nani atajichanganyaaaaa 🀣🀣🀣.. mngezaa tu sasa hii katoto kangekuwa katambaaa
 
😁😁 kuna siku unashika simu yake, malaaa paaap linaomba lije PM yakee.. au ndio unakuta ndio anaetumia ID ya mzabazab mwanawaneee
😹😹😹 Mzabmzab akiwa ndio koloni langu mbona naweza kulia kwa mambo yake ya humu..!!

Aliwahi kushika dogo mmoja simu yangu akakuta niliingia JF na siku log off akaniuliza tu kuhusu JF nikapotezea..!! Sema kadogo hakaelewi kitu japo ni mkali wa IT 😹
 
😁😁 kuzaa na mwana Jf ndio fantasy yangu kubwa imebakii sijui nani atajichanganyaaaaa 🀣🀣🀣.. mngezaa tu sasa hii katoto kangekuwa katambaaa
Uzae na mwana JF 😹😹
Dah! Hiyo fantasy yako kiboko..!!
Mi natamani kumuona member mmoja live ila naogopa..!!
 
😁 ndio atakubembeleza mwanawaneeeee

wengine ID zetu za JF kama bangeee, yani ikatokea mtu akajua id flanii ni ya nani unaweza tamani ardhi ipasuke na usirudi tenaaa..
 
😁 ndio atakubembeleza mwanawaneeeee

wengine ID zetu za JF kama bangeee, yani ikatokea mtu akajua id flanii ni ya nani unaweza tamani ardhi ipasuke na usirudi tenaaa..
Kuna waziri mmoja humu ana id ya kipuuzi kabisa na tuliwahi kutukanana..!! 😹😹

Sasa siku moja……. Au basi 😹😹
 
Uzae na mwana JF 😹😹
Dah! Hiyo fantasy yako kiboko..!!
Mi natamani kumuona member mmoja live ila naogopa..!!
😁 hii fantasy yangu niaipambania sanaaa kitoto nikiite hata jila member mwenye matata yakee humuu... iwe ukumbusho

Uoga weka pembeni una mvuta tu hata awezi gomaa watu walivyo na shauku ya kuonana humuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…