win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,009
- 30,712
yani acha tu, leo mshamba kashindwa kuvunga kabisa😂😂😂Sisi wa buzebazeba tunanangwa sana humu jukwaani aiseeew!😁
yani acha tu, leo mshamba kashindwa kuvunga kabisa😂😂😂Sisi wa buzebazeba tunanangwa sana humu jukwaani aiseeew!😁
haya nimetulia😊Tulia basi la mama😅
Ana shida huyu muhaya😃yani acha tu, leo mshamba kashindwa kuvunga kabisa😂😂😂
huko bukoba kaenda lini? sio kaskazin tena kwa yule bby wako cha pombe 😂😂😂Ana shida huyu muhaya😃
Kaskazini ana maringo hivi? Ila inawezekana maana chapombe nae uhaya ni mwingi!😂huko bukoba kaenda lini? sio kaskazin tena kwa yule bby wako cha pombe 😂😂😂
Si uliringa mwenyewe kupita alfajiri!Kumbe Huu uzi bila kuvizia vizia utaishia kuona text replies na memes tu!🙌
Mbona nilipita lakini sema sikukaa sana 😀Si uliringa mwenyewe kupita alfajiri!
Au sioMbona nilipita lakini sema sikukaa sana 😀
Nitajaribu tena muda huo.Au sio
Haina noma!Nitajaribu tena muda huo.
Ban Inaitwa kifungo huru.Haina noma!
Hivi umepigwa ban au umeweka pambo tu?
Kumbe! Ulifanya kosa gani?Ban Inaitwa kifungo huru.
Eti nimekuwa nikitumia "Strong language"Kumbe! Ulifanya kosa gani?
Duhh sehemu gani?Eti nimekuwa nikitumia "Strong language"
Humu jukwaani kwenye nyuzi mbalimbali 😌!Duhh sehemu gani?
Ulikuwa unatukana raia sio🤣Humu jukwaani kwenye nyuzi mbalimbali 😌!
Tunasubiri uanze wewe...