win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,055
- 30,923
hicho si cheo kabisa au akili zangu hazina akili 😄😄Eti prime minister😁
hicho si cheo kabisa au akili zangu hazina akili 😄😄Eti prime minister😁
Mimi ndio hazinitoshi shoriiihicho si cheo kabisa au akili zangu hazina akili 😄😄
Mwanaume natakiwa nioneshe pesa tu.wew unamuoneshaga nani
✅️Mimi ndio hazinitoshi shoriii
Haya kabla hajaona huyu chaumbea😁
Shwain😁
Unamuoneshaga nani ss izo pesa zako!Mwanaume natakiwa nioneshe pesa tu.
Nyie watoto wakali onesheni hayo maungo na maumbile.
umepita? mbona sijaona jamni haya sipepesi macho naomba irudiwe plzMimi ndio hazinitoshi shoriii
Haya kabla hajaona huyu chaumbea😁
hatujawahi kuona hata senti 😂Unamuoneshaga nani ss izo pesa zako!
Unazingua! Mpaka huyu mshamba kaninyaka!umepita? mbona sijaona jamni haya sipepesi macho naomba irudiwe plz
Unaona!!hatujawahi kuona hata senti 😂
hata hivyo wew ni murembooooo so haina shida jamni,, soooooo beurifuuuu😍😍 ni halali nyuzi ziwe nyingi 😂Unazingua! Mpaka huyu mshamba kaninyaka!
Pumbavu!😂hata hivyo wew ni murembooooo so haina shida jamni,, soooooo beurifuuuu😍😍 ni halali nyuzi ziwe nyingi 😂
eee ukweli usemwe bana haina kufumba fumba kama mgonjwa wa macho😂😂Pumbavu!😂
hahaa mnaringa na selfie zenu za infinix🌚hatujawahi kuona hata senti 😂
Bwana hebu acha ujinga hapo urembo uko wapi shajizeekea mie!eee ukweli usemwe bana haina kufumba fumba kama mgonjwa wa macho😂😂
Kwendraaa!hahaa mnaringa na selfie zenu za infinix🌚
haya kwaherini nawaacha
mbona umenipaisha hivyo? hizo level za hiyo infinix sijafika, bado nipo kweny tecno F1 babuhahaa mnaringa na selfie zenu za infinix🌚
haya kwaherini nawaacha
kwenye kila kitu,, mimi nimeuona😊Bwana hebu acha ujinga hapo urembo uko wapi shajizeekea mie!
Sisi wa buzebazeba tunanangwa sana humu jukwaani aiseeew!😁mbona umenipaisha hivyo? hizo level za hiyo infinix sijafika, bado nipo kweny tecno F1 babu
Tulia basi la mama😅kwenye kila kitu,, mimi nimeuona😊