Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

I meant maneno bana...
Ondoa akili huko kwenye utata!!😁
Nimepata maana mbili

Kutumia ulimi vizur kumaanisha alikua ana maneno mazuri

Ya pili kutumia ulimi Vizuri kumaanisha Mwongo/ mdanganyifu au tapel..

Sasa nikashindwa kuelewa kuwa alikua ana watapel wadada wa watu au😃😃
 
Eti anawatapeli wadada wa watu 🤣🤣

Pengine he was both...
Ila kwa sasa tumpe 🏆 ya maneno mazuri maana Hilo ndo tuna uhakika nalo 💯 🫠
 
Buku unaichukuliaje mkuu hata akiamua kulala kwa mmoja per day atatumia karibia miaka mitatu kuwamaliza wote 😃😃
 
Moyo wake ulikua unatosha kuwaweka wote 😁

Inawezekana yeye ndo aliamzisha ume msemo wa There's enough love for everyone!🤷🏾‍♀️
 
Back
Top Bottom