Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Hahaha sawa kabisa, usiku mwema MkuuTerm hii nilikaa na chumvi ya mawe pemben😃
Hahaha sawa kabisa, usiku mwema MkuuTerm hii nilikaa na chumvi ya mawe pemben😃
Njoo nikuuzie hizi 😂😂Nilikuwepo mkuu nimekua inspired kesho nikasokote😃😃
Zimechukua miaka mingapi kufika hapo😃😃Njoo nikuuzie hizi 😂😂
Na kwako pia mkuuHahaha sawa kabisa, usiku mwema Mkuu
Miaka 6Zimechukua miaka mingapi kufika hapo😃😃
🙏🙏Na kwako pia mkuu
Damn.... kesho naenda kunyoa 😃😃Miaka 6
Endelea kutupia basi 😉
Nibariki kwanza mkuu😃 usiku uende vizuri mpira ushatuharibia mood😃Endelea kutupia basi 😉
Unamshabikia nani??Nibariki kwanza mkuu😃 usiku uende vizuri mpira ushatuharibia mood😃
Nilikua nawasupport Ivory coast leo kwa nguvu zote 😃Unamshabikia nani??
Uongo kabisa huo maana that day Sir God alipumzika!!😇😁Girl Poet nimeipenda hii code😃
Nikupe maua yako mkuu upo vizuri Nadhani nyinyi ndo wale kadhaa mlitengenezwa jumapili Alfajir💥😍
Ukisoma maandiko ya zamani yale inasemekena watu kama wewe waliumbwa jumapili siku Mungu ametulia hana stress aman teleUongo kabisa huo maana that day Sir God alipumzika!!😇😁
Shukran mkuu pole Ivory Coast sio watu ni ntu😁ShesRise_1 mkuu😃😃nakusalim
😂😂Ukisoma maandiko ya zamani yale inasemekena watu kama wewe waliumbwa jumapili siku Mungu ametulia hana stress aman tele
Dah nipo naendelea kupoa taratibuShukran mkuu pole Ivory Coast sio watu ni ntu😁
Wachambuzi wa mambo ya kale hao wamekuja na theory zao😃😃😂😂
Naomba mstari nijihakikishie!!