Maisha ya jf yanafanya nijisahau, yani geto sijapasha marage halafu na like picha ya pilau/Nipo zangu geto, leo sjatoka, mvua kubwa sana na baridi kali, nikaamua nipike hivi, karibuni wanadauView attachment 1291431View attachment 1291432View attachment 1291433View attachment 1291434
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya jf yanafanya nijisahau, yani geto sijapasha marage halafu na like picha ya pilau/
It's Scars
Washing mashine laki 4 mzee baba, kufua pia imekua ni jukuma la mashine sasa mke hapo nafasi yake itakua ni ipi
Washing mashine laki 4 mzee baba, kufua pia imekua ni jukuma la mashine sasa mke hapo nafasi yake itakua ni ipi
Ndiyo hapo mkuu maana tunawapenda ila hawapendekiNakubaliana na ww mkuu, kwa sasa hana nafasi maana mpaka sabuni zimechukua nafasi yao kwa wale mabaharia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu utoto raha sana,waliongia mjini juzi wanaijua driveInn kweli.Maandazi Road...dah wayback wakati wa ukuta wa sinema ule wa DriveInn nilikuwa naenda sana hapo kutazama ndondo
Hahah wenyewe wanaita Zantel au Ubalozi...Hahaa mkuu utoto raha sana,waliongia mjini juzi wanaijua driveInn kweli.
Kwa wamakonde walipokuwa wanacheza kamali.Hahah wenyewe wanaita Zantel au Ubalozi...
Wakati Zantel lilikuwa gulio la Wamakonde na uwanja wa kucheza michiriku(singeli)
NdioooAisehhhhhhhhhhhhhhh ndiyo nini sasa kunifanya nisikie njaa,kumbe ni mpishi hodari
Unaziweka kwenye kikapu cha nguo chafu akija ataweka kwenye mashine na kuweka washing powder ndiyo kazi yao.Washing mashine laki 4 mzee baba, kufua pia imekua ni jukuma la mashine sasa mke hapo nafasi yake itakua ni ipi
Pilau siiwezi mfukoni mambo si shwari, nyama kwenu ila ukija geto ni ugali na kachumbari...Hahahaha, maharage hayana kazi sana, pilau ina kazi na inachukua mda mzee babaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo km haya ni mazuri , nature is always beautiful .Napenda sana maisha ya TZ maeneo kama haya
HahahahaUnaziweka kwenye kikapu cha nguo chafu akija ataweka kwenye mashine na kuweka washing powder ndiyo kazi yao.
Hivi ni nini kunifanya nichungulie eti#TheSunSetView attachment 1291425
Enheee muwe mnaweka za hivi....
[emoji7][emoji7][emoji7] za weekend finnese chick?