Kuna App huko naliza watu vibayaa, jamanii mie utapeli ntaacha kwelii??Kina Figo wa kushato soon tutasikia milio ni suala la muda πΉπΉπΉ
We unataka kufanyaje πHay
Haya nifanyaje fanyaje?
Wacha weeh shem km shem πΉLzm niwadolishie ye ndo kanipeleka , kachagua rangi ...upoo??ππ₯°ππππ
Kupendwa raha...
π€£π€£π€£Tukomesheeeπ€£
Jamanisijalewa kiivo bibie au umetuma kwa manati mana sijaambulia kitu wkt nipo standby kama walinzi wa mama Abduli π¬
πππSichoki wala sikomi πΉπΉ
Yum yum πAhsante sana mkuu nawewe karibu
View attachment 3604692
Jesus usije ukashawishika kum brendaπ€π€£Weeh tena kinanipenda hakijui wote tukikojoa tunachimba kishimo πΉπΉ
Kila akitengeneza mazingira kinipe no nachomoa πΉ
Unachokitafutaπ€£π€£Wacha weeh shem km shem πΉ
Mtag basi au hayupo humu?
Sema kweli πΉNa nyie warembo tupu humu mpo
KitakulambaKuna App huko naliza watu vibayaa, jamanii mie utapeli ntaacha kwelii??
ππππ.
Niombee uduguu, sijioni nikiwezaa kuacha kupiga wapuuzi.
Hapana unaanzaje Yani kupitwaNimepitwa
Polebahati mbaya sana twitter na telegram situmii sababu ya Vpn, kimeniramba tayari π¬
π₯π₯π₯Samahanini nina tatizo la mgongo au kibiongoπView attachment 3604697
Pole sana πΉTime hiyo hakukua na mambo mengi wala so nimepitwa
πππ umechachukaa siku hizii wewee, Aloo.Jesus usije ukashawishika kum brendaπ€π€£
Tabia mbayaπ¬π¬π¬π¬Jamani
Kwishneii babu G πΉ"SIjalala nautia kasi"
ππ€£
Niliwanyoosha mpaka wakaita mabingwa wa mji mzima .π₯π₯π₯
Unacheza Pool table hapoo. Tisha sanaa.
Mniombee kwa kweliii, πππKitakulamba