ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,643
- 41,980
Ila Selfika π π ππ€£π€£π€£π€£π€£
Au basi
Hatareeee, ππππππ,aiseeπ
Afu mbona hauna mwili wa ushangazi hata una mwili mzuri wa kidada wa kawaidaView attachment 3603935
Chaaap kabla wachawi hawajaanza kikaoπ€£
Thanks babe always positive! Lazima mambo yakunyookee, nikalale sasa maana taandika ujinga nishalewa sielewiπ΅βπ«Afu mbona hauna mwili wa ushangazi hata una mwili mzuri wa kidada wa kawaida
Looking beautiful π₯π₯π₯π₯
Wewe ndo utafanya niendelee kucheka ujue π€£π€£π€£π€£π€£πΉπΉπΉIla Selfika π π π
Chekaa π€£π ila huu uzi Wallah una laanaπWewe ndo utafanya niendelee kucheka ujue π€£π€£π€£π€£π€£πΉπΉπΉ
Hii comeback ya staring kufia kwenye maua kiboko πΉπΉChekaa π€£π ila huu uzi Wallah una laanaπ
ππππSasa Hata mkijua location itawasaidia nini? Mtakuja tulipo au? πΉπΉπΉ
Mbaga Azam hawakulipi vizuri mbona una makasiriko sana?? Hamia TBC
Saivi Selfika mpka ina bore ghaaashHii comeback ya staring kufia kwenye maua kiboko πΉπΉ
Coca selfika jana ulinipromise ujue sijasahau πΉππππ
Si mselfike sasa ili kukata mipasho πΉSaivi Selfika mpka ina bore ghaaash
Mipasho kila time ππ
πππAnkal ifike muda unipe badge kwenye hili uzi lako πΉπΉπΉ
Mana hivi kuna memba anapitia hekaheka km mimi humu? πΉ
Wanagombana wengine na mabwana zao ban napewa mimi πΉ
Nikiselfika natafutiwa app za kuangalia pic zangu ili wanijue khaaaa..!!
Nikigeuka huku pawa mabula naye anataka nichukiane na watu bila sababu kisa yeye ana kisirani chake..!! πΉπΉ
Hebu tambika tena na uumwagie makombe na uufushe uzi huu..!!
πππChekaa π€£π ila huu uzi Wallah una laanaπ
Koh koh koh π€Mchawi location babu nyooka
Tupo hoi kuangalia mitanangeπSi mselfike sasa ili kukata mipasho πΉ
Ona sasab au hilo joka lako kibisa πββοΈπββοΈKoh koh koh π€
ππππ uduguu, mie nacheka km mwehu hukuu.Coca selfika jana ulinipromise ujue sijasahau πΉ
π π hebu njoo tunywe π·kwanza huku tukitafuta networkOna sasab au hilo joka lako kibisa πββοΈπββοΈ
Hatutakiiii, πππMimi ni KK Security napita humu ...ambaye hajalala alale π