Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,318
🤭😅😅😅Alooo
🤭😅😅😅Alooo
So hutaki afutatu we mzee koh koh
alaf Shem. kwani sheria ya Selfika inaruhusu member wawil wapige picha kwa pamoja na warushe huku ?. 😊😊😊😊Njoo shem nakutumia location chap kwa haraka😂
Hakuna cha sheria, kwani hapo hujaona member shem lake!😁alaf Shem. kwani sheria ya Selfika inaruhusu member wawil wapige picha kwa pamoja na warushe huku ?. 😊😊😊😊
KFC Magomeni..... Location????
View attachment 3603783
Mara hii Dar ushakua mwenyejiKFC Magomeni.
Ila ephen😂Mara hii Dar ushakua mwenyeji
hiyo ni TBT na wew😂😂 saivi na mimi ni kibonge mnooo yani mwili umejaa tika tikaTutakoma sie mabonge mafupi mwee😂
Nasikia pana hela acha nipachangamkie.Mara hii Dar ushakua mwenyeji
Nitakataaje hela, we niletee tu 🤭So hutaki afutatu we mzee koh koh
Hongera sanaNasikia pana hela acha nipachangamkie.
Basi tu siezi anika tena thread itaekelea 50 pg huko🤣hiyo ni TBT na wew😂😂 saivi na mimi ni kibonge mnooo yani mwili umejaa tika tika