cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Hatutakiiii, 😂😂😂Mimi ni KK Security napita humu ...ambaye hajalala alale 😂
Hatutakiiii, 😂😂😂Mimi ni KK Security napita humu ...ambaye hajalala alale 😂
Network haipatikani bila VPN doh😢😅😅 hebu njoo tunywe 🍷kwanza huku tukitafuta network
Si unajua Wazee huwa zipo mbali 🤪
Udugu wenu mwisho saa sita 😂Hatutakiiii, 😂😂😂
Hakuna hiyooooMimi ni KK Security napita humu ...ambaye hajalala alale 😂
Hatutakiiii, 😂😂😂Udugu wenu mwisho saa sita 😂
Cocastic rusha picha tuone.Hatutakiiii, 😂😂😂
Wee yako sijabahatika kuifuma, em wekaa hapa na mie niwekee.Cocastic rusha picha tuone.
HahahahaUje peke yako mkeo unamuacha na nani? 😹
Mje wote niwachomee nyama ya mbuzi weekend..!!
Nyiee 😂Hakuna hiyoooo
😹😹😹 Huu uzi sisi ndio tunaongoza kikosi vitani 🔥😂😂😂😂 uduguu, mie nacheka km mwehu hukuu.
Ntu 2 tunasimamisha Selfika, I'd mpya km zotee, fekeroo za kushato,
Najionea mauza uza hapaa, shengesha zenyewe hazina vibes wala ninii. Aaah.
😂😂😂
Wewe mbishi sana kuweka picha umeshindikana kwenye uzi huu.Wee yako sijabahatika kuifuma, em wekaa hapa na mie niwekee.
😂😂😂😂 jamanii sijakuzidi wewee, Aloooh.Wewe mbishi sana kuweka picha umeshindikana kwenye uzi huu.
Hamna mtanange hofu zenu tu 😹Tupo hoi kuangalia mitanange🙌
Ndiyo manake, uje na mbinu zenu za mwaka 2000 sasa 😅Network haipatikani bila VPN doh😢
Lala amani ipoNyiee 😂
Haya msigombane mimi nalala 😂
😂😂😂😂 uduguu subirii mida wa Wangaa, ntapita naked.😹😹😹 Huu uzi sisi ndio tunaongoza kikosi vitani 🔥
Tukiuacha utapoa huu na hautakiwi kupoa..!!
Bado hajaonekana wa kuleta shengesha ni vituko tupu..!!
Mji Una mashartii mpaka ufanikiwe 😹👌
Sio kuvaa mashati ukajiona ndo wewe 🤣
Mwanamke u beauty manukato unukie 😹
Udugu do the needful nione rangi pure ya mtume
Sitaki mshamba anasema sura ya upole kama naimba kwaya mshenzi sana kijana😅😅Hamna mtanange hofu zenu tu 😹
Tupia basi ile sura ya upole.
ShemHahahaha
Kuanza kuimba na maikiiiiii masaa kibao sitakiiiNdiyo manake, uje na mbinu zenu za mwaka 2000 sasa 😅
HahahahaShem