Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha.........kama unamaliza bakuli mbili, basi mkwe ajiandae kupokea mapacha kama sio baunsa (mtoto wa Kiume)

Sisi Mababu tujiandae kukuletea zawadi ya Pampas tu 🤪
Babu wa mchongo🤣
 
Manchuria ndo ipoje
Sis utanisamehe sijui hata kuelezea.

Mimi nikienda huwa naomba wanipe tuu.

Ila inakuwa ni rojo hivi wanajua wenyewe wamechanganya nini,
Kunakuwa na nyama ya kuu, pilipili, then inakuwa ina tambi pembeni.

Ipo manchuria za aina nyingi.
 
Babu umejuaje napenda watoto wa kiume
Ukimzalia mumeo mtoto wa Kiume inakuwa umempa zawadi kubwa sana maishani, ni vile Mungu ndiyo huamua akutangulizie wakike ama Kiume

Mimi nilianza kuletewa wakiume, ilifanya niwe natoroka kazini kwenda kucheza naye nyumbani

Weekend yote sitoki na marafiki, nikukaa naye tu tunacheza
 
Mtoto ni mtoto tu!
Ninaye wa kiume tayari ila nataka wengine wa kiume.
Nataka kua mama boys
 
Mtoto ni mtoto tu!
Ninaye wa kiume tayari ila nataka wengine wa kiume.
Nataka kua mama boys
Ni kweli, mtoto ni mtoto

Mara zote wazazi tunapokea kama zawadi

Ila kwa huo ulaji wa bakuli mbili za urojo, naona anakuja boy mwingine 😅
 
😁😁😁no ht hainishindi..na unajua hainishindi
Kinachonishinda skin care mimi ni hiyo routine ya kupaka hiki sijui usoni, hiki kabla hujalala mara hiki asubuhi, siwezi kwakweli🙌🙌

Ila natumia vaseline body oil , bt usoni sipaki kitu , naogopa 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…