Selfika na JF: Snap it. Show it

Ujue Wala sikuzaliwa na dimples,ukubwani zimenipata aisee,kwenye family yetu kuanzia mama sote tunazo๐Ÿ˜
Ulikua nazo toka utotoni ila hazikua zinaonekana,
Ila kidoti ni km sunzua eeh? Kuna mtu kimemuota ukubwani ila yeye chini mdomo hapendii, anasema kimekaa pabayaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Najionea mauzauza watu kukukazania mwanaume wakati pisi kali. Kisa unatetea upinde unaonekana mmoja wao..!! Tatizo hawakujui ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mahii Watu wananijua kuliko wewee, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa mie niko wazi wazi, wao wanajificha, wanaogopa nini?? Mtu Ujiaminiii bhanaa.
Aloooh.
KUJIAMINIII hoyeeeee!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Raha ya tako liendane na mwili buanaaa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Haya post traco lako tuone nyoko weeh
Unashinda kufanya diet upate mwili km huu na huupati ngโ€™oo pawa mabula ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Humu picha zangu nimeweka sana mwaka juzi, wote wananijua sina tako nimepigwa pasi, juu mnene chini mwembamba.

Kwanini unatupa mafumbo kuna shida gani?
Sifa za kidoti ulizomwaga jana bwana wasenge wamepita nazo na hata hawajaona kitu! Mbongo mpe heading ndio kakusanya kamati hapo naona anawasimlia jinsi kilivyo fake๐Ÿ˜
 
Ahsantee kwa Elimu na ujuzi huu. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Bora umetusanua maana kuna watu wana kibarua kigumu humu sijaona!๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ