ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,741
- 42,173
Naomba dimples πView attachment 3603472yaani weweππ,,ujue nmecheka hiki og,Wala sikizingatii.
πππ Haya Relaaaxx Mwaegooo!!Sili mikungu mm, Endelea na wanaume wako wanaokofukua
π Seran hizo emoji unazitoa wapi ?Humu tuOoh pappiiiπ€ͺ
πππ,nikubandikie shavu MojaπNaomba dimples π
Natembea uchiii shoooz!!Kwahy hua navaa suruali za kiume au za kike?
Napendaaa halafu wenye nazo mala nyingi baby face π₯° wapoleeπππ,nikubandikie shavu Mojaπ
Ewaaahh umeona sasa kidoti OG kilivyotulia na dimples km zangu jamani wohiiii πππView attachment 3603472yaani weweππ,,ujue nmecheka hiki og,Wala sikizingatii.
Anajijua mwenye soko la kuforce mpaka anahisi wote wauzaji kama yeye! kapumzike humu ujinga ujinga tu hakuna jipya zaidi ya kujitungia upuuzi..Ndio nan huyo? Hii mpaka nilewe, hapa na usingizi wa hatari. na siku 2 sijalala
Wanajizima data na minguruwe pori yao πΉπΉπΉππππ uduguu, una nini lakiniii?
Watu wana mambo mingii, kusahau ni muhimu atiii..
Woiiiiiiih!!!
Ujue Wala sikuzaliwa na dimples,ukubwani zimenipata aisee,kwenye family yetu kuanzia mama sote tunazoπNapendaaa halafu wenye nazo mala nyingi baby face π₯° wapolee
πΉπΉπΉNatembea uchiii shoooz!!
πππNaweza nashindwaje sasa? πΉπΉ
Kwanini unachekaa mahii?? ππππΉπΉπΉ
Sasa umezipataje ukubwani jamaniππ ebu nielekeze nijaribuUjue Wala sikuzaliwa na dimples,ukubwani zimenipata aisee,kwenye family yetu kuanzia mama sote tunazoπ
NImeolewaπEwaaahh umeona sasa kidoti OG kilivyotulia na dimples km zangu jamani wohiiii πππ
Mtoto mkareee wewee ππ
Umeolewa? Nna kaka ujue
Najionea mauzauza watu kukukazania mwanaume wakati pisi kali. Kisa unatetea upinde unaonekana mmoja wao..!! Tatizo hawakujui πΉπΉπΉKwanini unachekaa mahii?? πππ