Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata haistuiiii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uje na jambo jipyaa, hili la Gugo Lenzi ni Old humu ndani, labdaa kwako wee ni geni.
Mimi wagoogle nimewaruhusu na huwa naweka kitu juu mpk chini sijali..!!

Waje hapa na majibu yao ila wasiniedit tu..

Yani watu wako busy kudownload app kisa pic za Lamomy seriously?

Mama Lamomy haupo duniani lakini watu wanateseka na uzazi wako ulioutotoa 😍

Momy Lamomy Igweeeeeeeeeeee 🫑😘😘
Umezua taharuki mwanamke wa shoka..!!
 
Wajaaaa!!

Mie km shengesha za JF, Basi UEFA nimevuka, sio tu hapa Selfika ni hadi huko Majukwaa mengine.
Muulizeni Max na Modes wake wa waambie,

Naona kuna Viumbe wanahisi nina mda wa kukaa kuwajadili au kuwafatilia, huo mda sina na nimeshavuka huko, kwanza sina na sihitaji shengesha na mtu, kazi yangu ni kutunza masijara na kuchochea πŸ”₯ shengesha ambazo waja watazileta wao wenyewe hapa na eneo hilo niko vizurii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa km kuna mengineyo, hayo ni yenuu, na sihitaji, halafu mie mafumbo iwe hapa selfika, au huko majukwaa mengine huwa sijibu, na basi yawe mapyaa, cha ajabu ni kitu kile kile, aaaah, Jamanii nataka Mapyaa na Magenii mie. Alooo.

πŸ’™ mandeiiii!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka sanaa, Shengesha za JF siku hizi hasitui kabisa, sijui nimekua sugu.
Aaah.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Mlongo😁
 
Uwe unanielewega mdogo angu ninavyowakatalia watu kufungua pm ndio km hivi sasa..!!

Kuchat kidogo tayari mtu anakujua eti 😹😹
Ila nimecheka sana, Eti Anasema kumbe alikosea kumuita mwenzie Mnafiki, kisa kuhusu picha sio zake, na wakaombana msamaha, sasa kwani hilo la kusema picha sio zake tulisema sisi, au m1 wao ndio alibwata humu ndani, na sisi tukachochea tu,

Wao ndio walisema wana picha zake OG na sio alizotuwekea sisi hapa, sasa hii ngenga inatoka wapii? Ila Watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio madhara ya Umbea wa kujifunza ukubwani, unasahau hansard zote, Lol
Kuhusu Gugo lenzii wala sio jipya humu ndani mahi, ndio maana baadhi ya memba wameondoka kisa ni hiyo, na tulisanuliwa if unataka kuweka picha, fanya ku screenshot kwani, details zinafichwa.

Labda km kuna jipya jingine, na Lifike tu. Litapokelewaa.
 
Mtu kaselfika kila pozi la uso mpk kapaka katia Kidoti cha wanja lakini wapi haombwi pm ifunguliwe kapanic..!! 😹😹😹

Hizo sio shida zetu 😹

Unajua na American boy katuletea hekaheka hapa. Aache kuniomba nifungue pm. Watu wanahisi hawaonekani..!!

Kanikumbusha enzi za babu miga alivyoona nimekataa akaniambia kwanza kabaya hafu pm anaomba appointment 😹😹😹

JF inachekesha sana!!
 
😁😁Jamani,naona tu kidoti,kidoti😁, kidoti tenaπŸ™„,mnanitisha.
 
Ww tena baby, ngoja nipost ili mpate lingine la kuongelea

View attachment 3603460
Hapo sawa, una stress sana mwili hauna nuru itakuwa pawa mabula anakunyonya sana damu..!! 😹😹😹

Hapo ndo Azam kumbe?
Niombee kipindi nije kufundisha uwekezaji na vijana..!!
Na uduguu wangu apewe cha SHENGESHA ZA KITAA NA COCASTIC πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ‘Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguu una nini lakiniii?? Hupoi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…