Au sio πΉMalizia basi nikufanye wallpaper, screensaver na audio yako iwe ringtone.
Utatu mkamilifu ππ₯°
ππππΉπΉπΉ Endelea kufananisha
In the name of jesus... shetani atashindwa. ππ€£Maka na mwanya unao ππ
Huyu shetani wa safari hii kasimamia kucha kuniangamiza mazima..!! πΉπΉ
Weee tulia ucheke πΉπΉNaisubiriiio kwa hamui uduguuu, πππ
WalaiAu sio πΉ
Hizi rangi mta sababisha nipate mzuka wa ajabuMtoto mpole km mimi naanzaje kuwa muongo?
Kwanini sasa πΉπΉπππ kanikimbiaa etii, woooiiih
ππππ Selfika ina heka heka, unaambiwa picha inawekwa, afu wanaenda kutafuta Eiyai iwapeleke kwa muhusika halisii.Wapi walikosema kidampa na mwanaume?
Huko sijaona, Ila nimeingia nimekuta pics nyingi nimekuhifadhia masijala ujionee..!! πΉπΉπΉ
Leo nilikuwa busy na wakaka tu kwa wadada sijaona maajabu kivile..!!
Em selfika kwanza tutingishe mji
I remember π ulikuwa rafiki yangu before hujui hata mwandiko wanguMimi nina jicho la rohoni mkuu ninaona.
Unakumbuka? Tokea enzi zile unalike tu haucomment nilikuwa nakuona kwa hili jicho la kitaalam.
Acha nisiongee sana nitaonekana mshamba...
Hatariiii uduguuu, πππKwanini sasa πΉπΉ
Ya mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp πΉIn the name of jesus... shetani atashindwa. ππ€£
Nikipita nakuitaLamomy huyo kaniponza
Sio kidogoooo πΉπΉHatariiii uduguuu, πππ
Lord have mercy..Ya mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp πΉ
Bro kwa style hii, tutaweza kubeba magunia ya mchele pale manzese tip topMalizia basi nikufanye wallpaper, screensaver na audio yako iwe ringtone.
Utatu mkamilifu ππ₯°
Itabidi nikae attention, maana nikipoteaga jf ni nimepotea mazima, nitakuta ushapita mpaka kupitiliza..Nikipita nakuita
Mbaga JrYa mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp πΉ
Njaa haijawahi kumpendeza mtu, mengine tunafanya sababu ya njaa tuBro kwa style hii, tutaweza kubeba magunia ya mchele pale manzese tip top
Watuletee majibu wao na huyo Ai wao πΉπΉππππ Selfika ina heka heka, unaambiwa picha inawekwa, afu wanaenda kutafuta Eiyai iwapeleke kwa muhusika halisii.
Mbona mabwakuuuu!! ππππ
HUyu mtoto mkaleee kmmk..Ya mwisho nikapige umbea na uduguu wangu WhatsApp πΉ