[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikianza kuyataja utakayoyafanya humu sitayamaliza ila tu chonde chonde mama siku ukinywa ukalewa usiingie humu,, na vyenye ninyi beginners mnakuwanga wasumbufu.. don't you dare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga komoo πππ ila najua hajasave, hata kama kasave atajua mwenyewe na matumizi yake......ilikuwa ni half selfie mpaka tumboni ππ
Lol!! Watauza sana bia. Mwisho wa safari abiria wako njwiiiiiii!!!.
Sasa sie tusio walevi naona hii treni haitufai[emoji134][emoji134][emoji134]
Nimetoka kumwambia mtu kwamba hapa watu wanabishana na baba zao bila kujua.
Mtu anamwambia baba yake "sikiliza dogo..."
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanafika moshi wamezima ama wameibiwa [emoji23][emoji23][emoji481]
Hahah jamaa hakawii kusifia tiles
n hoax kwa vipi mkuu?.
Nb: mimi nilidhani ni Nsyuka wa ukweli[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunakuwa wasumbufu kwenye nini?
Mkwe vya kwangu visubiri pasakaMkwe uchoyo umeanza lini?[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi kabla ya kupanda ndugu wataarifiwe mapema wawahi stesheni kuwasubiri ndugu zao.
Kama nawaona vibaka wanavyogeuka kuwa wachaga na kuanza ruti za Moshi.
Kiranga komoo [emoji23][emoji23][emoji23] ila najua hajasave, hata kama kasave atajua mwenyewe na matumizi yake......ilikuwa ni half selfie mpaka tumboni [emoji41][emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi kabla ya kupanda ndugu wataarifiwe mapema wawahi stesheni kuwasubiri ndugu zao.
Kama nawaona vibaka wanavyogeuka kuwa wachaga na kuanza ruti za Moshi.
Miss you more
Never
Bado hazijawa very, we mwenyewe ulikuwa hapa hapa kwenye Uzi na picha hujaona πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi sana na bado siku nyingine wawekee full kabisa,, naona dawa za Mshana ziko 'vere ifektivu'..
Sent using Jamii Forums mobile app