Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahah umenikumbusha mbali.. sema sikuhizi siwezi haya mambo nasinzia bar🤣
Ila shem bora umepumzika hizi weekend aisee, maana 🙌🏾 Halafu natamani sana kuonja ile Tzee🤪
 
Hahahah umenikumbusha mbali.. sema sikuhizi siwezi haya mambo nasinzia bar🤣
Ila shem bora umepumzika hizi weekend aisee, maana 🙌🏾 Halafu natamani sana kuonja ile Tzee🤪
I promise You Shem, ntakuletea soon. worry not.

Mm ngoja nilale. Slip tyt shem. Lala unono.
 
Wewe sasa unanitengenezea vipengele, umeni tag kama makubaliano yetu?
Fanya kazi mkuu nikupe ujira wako
Nikutag vipi wakati mimi nimekusaidia kuripoti ifutwe na mods..!!
Wewe lipa pesa hiyo ahadi ni deni, hii pesa nitakudai na utaitoa usintanie ujue 😹😹😹

Halafu ukianza ubabaifu warembo watakuogopa humu..
 
Umeanza lini we mzee😂 rudi kwenye kiko au nikuvutishe mjani tu wewe
Nimeanza kujidunga 🍷nina miezi 4 sasa, siku ukiniletea Kiko utaniona mjukuu 🤭

Hapa nimekaa sehemu napiga glass huku nakula upepo wa mjini

Mjani nina miaka mingi napasha, mara nyingi nachanganya kwenye Kiko 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…