Selfika na JF: Snap it. Show it

Unalala ili ugundue nini shem, hapa kulala ni asubuhi🀣
Umenikumbusha kuna ijumaa moja miez kama 3 nyuma. Tulizunguka bar 4. Kuja kushtuka saa 10 alfajiri. Tuko Washkaj wanne na mafame wawili.
Mm na mwana mmoja tukawatoroka. Wana wawil wakabak na pisi mbili.

asubuh kuwachek wana , hatuwapat. Na hatuna namba za wale wadada maana pisi moja ni ya msela na nyingne kuna mwana alizimika nayo siku ile ile first day.

Tumekuja kuwapata saa 10 jion. Eti wanasema walikamatwa na polisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakawekwa ndan.

Ila baada ya siku 2 wakatuambia ukweli. Kumbuka wana wameoa.
Na wamerud kwa wake zao saa 10 jion next day πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Dah. Balaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…