ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,740
- 42,173
Ninayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu๐We chica unashadadia ila zako huweki, why?
Kwanini mpole kuliko 2pac mwenyewe?Nani aliambiwa hivi
Ungeona picha usingeamini๐คฃ๐คฃ
Mbona Labella yuko hapa hapa humuoni ๐ ๐
Hata wewe?๐Ninayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu๐
๐น๐น๐น๐น Kwahiyo tusiwasifie wakaka wazuri jamani..!!Huu sasa umalayaa mahi
Ila mimi sijaona๐ข
๐ basi mimi kuselfika tena mtanisikia tuNinayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu๐
SimwoniMbona Labella yuko hapa hapa humuoni ๐ ๐
Hakuna cha bure mzee๐คฃHata wewe?๐
Kama ninavyokuona vile uncle wangu๐. Heshima kwako๐
Nilijua tu๐ ๐ ๐๐ basi mimi kuselfika tena mtanisikia tu
Maka mimi sio dada yako tuheshimiane ๐น๐น๐นsijui hata nijibu vipi we mdada, ila kuna kete kadhaa hapa, njoo tushtue mapafu na ubongo.
Kauli yako sio ngeni masikioni mwangu.. nishaambiwa sana hii kauli.. mtu anakuna anasema wewe, mambo yako na ulivyo TOFAUTI ๐คฃ๐Mkuu mbona hufananii na yale maongezi๐คฃ kisura cha upolee..
Angalia vizuri yupooSimwoni
Sawa lamomy.. nisamehe mimi ๐๐คฃMaka mimi sio dada yako tuheshimiane ๐น๐น๐น
Msimjibu Maka kwa nyodo viumbe km yeye tumebakiwa navyo vichache..!! ๐น๐คฃ๐๐คฃ
Mganga alisema ni mara 1 tu, nikinogewa kitakachonikuta shauri yangu..Fanya tu Shwaaa na kufuta ๐๐
Nipe mahi puliiizzz๐น๐น๐น๐น Kwahiyo tusiwasifie wakaka wazuri jamani..!!
Nikupe pic yake?
๐คฃ๐คฃ๐คฃMsimjibu Maka kwa nyodo viumbe km yeye tumebakiwa navyo vichache..!! ๐น