nooo bwana mi sitaki vya kuambiwa, nataka nijionee kwa macho yanguShesRise_1 ashawahi niona mwambie akusimulie win-one
πnooo bwana mi sitaki vya kuambiwa, nataka nijionee kwa macho yangu
Sawanitakutumia,, nilitaka niitest kwanza nione kama inafanya kazi, ila iko vizurii
Pita sasa nikuone kwanza shemeji yangu mzuri mzuriπ₯°Shem wangu. Sawa Ntakuwa sichez mbali na mitaa hii.
serious au unatania? kama ni kweli mbona haujawahi kuniulizia dawa sasπͺKumbe!π± basi unielekeze aisee kuna sikio moja silielewi elewi sijui limechoka kufanya kaziπ€¦π½ββοΈ
Muonyeshe tu hata piemuni hukoShesRise_1 ashawahi niona mwambie akusimulie win-one
Hata uwe age go hapo hutoboi huyo amekula sana chumvikhaaaa yani huyu,, haujui kama mimi ni age go?π€£
Kuna mmoja huyo kila nikiandika username yake IG sasa hivi haji, itakua nae kabadili jina nimemiss kumuona yule mremboSema siku hizi nimeacha kufuatilia sana picha, na kuunganisha dots ila wengi waliojoin zamani walikua open sana ukiwa serious kidogo unapata kurasa zao za Insta. Nliwafollow baadhi siku hizi naona wameswitch account zao kua private.
Kwasababu bado linasikiaπserious au unatania? kama ni kweli mbona haujawahi kuniulizia dawa sasπͺ
Pm situmii msimulie tu πππMuonyeshe tu hata piemuni huko
oooh leo umenibamba?,,, na wew ukitaka kupita uniite bestiethis beauty will never perish..
Pita sasa nikuone kwanza shemeji yangu mzuri mzuriπ₯°
Tupo vacation tatizo hanipagi niinyoosheunamuotaga mkiwa mnaniniπ€π π π
NomaPm situmii msimulie tu πππ
sikubali, najua wew ni karembo mno sifa zako nishazisoma bado kuziona tuπAwapiπ sifa zote kwako
Pita hapa kwanza kabla ya jioniπJion shem . Now niko tu mahome. Nikitoka ntapita huu mtaa unione ππππ
Kumbe kuna kuiweka ndani, kwani mashuti ya mbali hayaruhusiwi?Haya changamka tuweke ndani π₯
Basi whatssp huko mi nilishasahu mahiPm situmii msimulie tu πππ
Labda kabadili username.Kuna mmoja huyo kila nikiandika username yake IG sasa hivi haji, itakua nae kabadili jina nimemiss kumuona yule mrembo
Hivu unawasikiliza kina Intelligent businessman na mwenzake Dc?sikubali, najua wew ni karembo mno sifa zako nishazisoma bado kuziona tuπ