ππππ nakuambia, afu ana makusudi huyu ni mvuvi haramu.Ile ya siku unajua mpk ikabidi tutete na coca kidogo ulijua kutunyoosha..!! πΉπΉ
SanaaaKazuri haswaah
Lala ukue tu, πππDah uko off beat sana, au ndio nina usingizi
Kumbe mchawi wangu ni wewe? πππππ sasa je?
Embe bichi unakula na chumvi maana lina ukakasikwa kiswahili kizuri umemaanisha nini bintiπ
ππππKumbe mchawi wangu ni wewe? π
Koleza moto..palilia makaaπΆπΏββοΈββ‘οΈ
oooh kwahiyo hapa embe ni nani na chumvi ni naniππ€ mi bado mgeniEmbe bichi unakula na chumvi maana lina ukakasi
Au kula ugali mkavu na dagaa nyama bila mchuzi
Aisee nitakuchapa aiseeoooh kwahiyo hapa embe ni nani na chumvi ni naniππ€ mi bado mgeni
Wanakupa hamasa ushushe lakoWana mighorofa wameinunua kkoo km ugomvi..!! Wananitia hasira πΉ
nguvu za kiume zinaliwa? πWe mbona ni mali safi tu ningejitosa sema sina kitu cha kukupa zaidi ya nguvu za kiume.
nooo hiyo ni typing error tu,, huyo kibabu bado yanki sitaki kumzeeshaAisee nitakuchapa aisee
Mugumu kuelewa we si umesema shem mpya ni mtoto so we mle hivyo hivyo tumia hata chumviiπ€ͺ
na tumejaa kweli sio mchezoππππSiku hizi hata vijijini kina win one wamejaaa.
Tokaaaπ€£Hey Wajaa!!
Mtunza masijara wa JF, Ndio niko winja winja hapaa.
Mfanye kuweka hizo picha nilizopitwaa, ili ziwekewe kwenye hansard za Selfika.
ππππ
Kumbe kuna Hansard na hamsemi watu tunapita kavu tuuπHey Wajaa!!
Mtunza masijara wa JF, Ndio niko winja winja hapaa.
Mfanye kuweka hizo picha nilizopitwaa, ili ziwekewe kwenye hansard za Selfika.
ππππ
Umemaliza pages zote laki mbili mkuuπππMbona uzi umejaa maneno selfie sizioni?
Mbona sisi tunazionaMbona uzi umejaa maneno selfie sizioni?
Ndo nimemalizia apa π€Umemaliza pages zote laki mbili mkuuπππ